Kikok-Borok
Mandhari
Kikok-Borok ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wakok-Borok. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikok-Borok nchini Unhindi imehesabiwa kuwa watu 778,000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Bangladesh. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikok-Borok iko katika kundi la Kisal.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikok-Borok kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikok-Borok Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikok-Borok katika Glottolog
- lugha ya Kikok-Borok kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikok-Borok kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |